Waungwana nahitaji msaada wenu wa kupata eneo /Frem kwa ajili ya biashara ya saluni ya kiume,
Pia nahitaji vifaa vyote muhimu kwa ajili ya kuanza kazi hiyo.
NOTE: Gharama za vifaa hivyo na eneo hilo visiwe na sifa ya kumfanya mtu achukie kuanza harakati za kujikomboa kiuchumi..
Ahsanteni natarajia ushirikiano mwema.