Muhimbili interview

mambucha

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
279
Reaction score
160
Nimepigiwa simu leo asubuhi kwa ajili ya interview Muhimbili hospital Assistant Accountant, vipi hawa jamaa wanalipaje?
 
jipange kwa interview kwanza. maslahi utauliza baada ya ku-pass interview jamaa yangu
 
If this is your attitude na hata kazi yenyewe hujapata, Basi utaishi kwa shida sana
 
Kweli binadamu mna matatizo. Kazi hamna mkiitwa mnaanza kuulizia mshahara. Daa kaz kwel
 
Wanalipa shilingi milioni tano kwa mwezi, lakini unaweza kuwaomba wakakuongezea kidogo kama fedha za usafiri na nyumba.
 
Wewe hiyo ni taasisi ya serikali so tegemea viwango vya mshahara sawa na mhasibu wa Amana na Mwananyamala ambao wako chini za manispaa zao na hulipwa sawa na mhasibu aliyekuwepo pale halmashauri ya kinondoni na ilala ambao kama ana degree basi ni TGS D au E kutokana na expetience yake.
 
TE=mambucha;9150286]Nimepigiwa simu leo asubuhi kwa ajili ya interview Muhimbili hospital Assistant Accountant, vipi hawa jamaa wanalipaje?[/QUOTE]

0658104224, Hii ndo namba walitumia kukupigia mkuu?
 
Weka namba waliyotumia kukupigia make na mimi niliomba hiyyo nafasi, siku wanawaita kwenye interview sim yangu sikuwa nayo nkkakuta missedcall ya namba flani mpaka sasa hivi nikiipiga haipiti
 
maslahi muhim jamani,

Maslahi ni kweli muhimu ila ingekua muhimu kama unavyo taka kuiweka basi ungefuatilia kabla huja apply. Kama maslahi ni muhimu sana imekuaje ukasumbuka kuapplly kabla ya kujua malipo?
 
nakushauri tu ujiajiri.. kazi za kuajiriwa ina net income ndogo sana kama kweli unajua hesabu..

nimekushauri tu...!
 
Mkuu nilikuomba namba waliotumia kukupigia hukunipa, nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…