Muheza Nitarudi tu!!!

Lazima urudi kupakatwa mchezo, chezea wabondei ww
hilo beseni hapo pembeni nguo zake zishalowekwa zote
hivyo hakuna kutoka
umeucheki mkono wangu wa kulia ulipo? yaani muheza ni mwish wa ubishi
 
hivi siri ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa na bado wako romantic na hawachokani ni nini?
 
umeucheki mkono wangu wa kulia ulipo? yaani muheza ni mwish wa ubishi


Inapendeza sana yaani na ubish wako wteeeeee lkn hapo umefika mungu wangu na akubariki
rudi tu utapewa utakacho
 
Mimi nimekuja mbio nikajua umetuwekea picha za 'Bondeni' ukijichana machungwa au mafenesi...

Btw mbona una tumbo kubwa hivyo kama zigo la madhambi?
 
hivi siri ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa na bado wako romantic na hawachokani ni nini?
@Exellent , siri kubwa ni UVUMILIVU wa KWELI na KUSAMEHEANA NA KUSAHAU KWA UKWELI, Sio kosa kidogo mnaanza ya ya mwaka jana kwanza , hamtafika
 
umeucheki mkono wangu wa kulia ulipo? yaani muheza ni mwish wa ubishi

Huo mkono balaa hapohapo sebuleni mkono ushafika huko.alafu mdada kama hauoni vile,mdada ni fundi haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…