Nasikitika kukuambia kuwa kama ulidhani unaufahamu mpira basi hauujui kabisa au unaangalia magoli tu.
Mtu wa mpira huelewi ukiambiwa kaizer hawaji?
Kwamba huelewi timu pinzani ikipaki basi majukumu ya kiungo wa ulinzi yanapungua?
Yaani mtu wa mpira unamfananisha lwanga na Nyoni, kwamba nyoni ni bora. Huku ukijitapa na kuwaita watu hawaujui mpira.
Unauliza wapi team ilifanikiwa? Total failure ya timu unataka kumpa mzigo lwanga?
Kwamba simba alishinda tatu sababu ya uwepo wa nyoni.
wakuu mbona wachezaji wate wazuri sema hapo kuna mapenzi kwa mchezaji yanaweza kuingia, binafsi mi nampenda zaidi nyoni maanani mtu wuhakika sana katika kuzuia na kushikilia mpira hadi kwenda kwa mlengwa aliyemkusudia, pia si mchezaji wa kuwa na shaka nae pindi ashikapo mpira, yani anaweza shika mpira na watu wakaanza kufungua.Nyoni alicheza vizuri au kwa kuwa tulishinda game na kaizer walikuwa hawaji ndio unasahau makosa yake
Alipoteza pasi ngapi za wazi jambo ambalo hutolikuta kwa lwanga.
Unauliza nyoni na lwanga nani alicheza vizuri huku ukijua kabisa lwanga alitoka kwa kuumia.
kwa mtazamo wangu wa kawaida, mfumo unaotumika ndo unamfanya Mugalu pale simba aendelee kula namba hata ka tutamwona mbaya, falsafa za mkufunzi zinataka mshambuliaji ambaye anaweza fanya kazi zaidi ya moja na mshambuliaji ambaye hana kitete cha miguu.
Mugalu ananikumbusha enzi za mfungaji bora Mavugo katika mchi yake ila alipofika Bongo land mambo yakawa tofauti kabisa na akaonekana kama garasha lisilofaa kwa chochote, pia tujikumbushe kwa wenzetu hapo uingereza kuna wachezaji walichukuliwa wakaingia United wakawa ka maganda ya ndizi japo walisajiliwa kwa hela nyingi sana tena timu mbali mbali zikiwagombea ila mifumo na mazingira mapya yakawakataa kabisa
Mtizamo wangu ni huu, wachezaji hawa wa kigeni wako vizuri sana na ndo maana tukawasajili na mwanzoni walionesha kiasi walivyokuwa japo si ka tulivyowategemea, changamoto ni maziringa na jambo ambalo wengi ambalo huwa hatulionagi (kamati za fitna)
Ewe mugali ni mchezaji mzuri, ewe Kagere ni mchezaji mzuri sema mazingira yamewakataa wanastahiki wakapate tim unyingine ili wafanye makubwa kama hapo awali
Kagere mfumo wa wakufunzi unamtoa katika reli maana yeye si mkabaji sasa kukiwa na msukumo katika mechi yeye anaonekana si msaada
....WENGINE HATUKUKUONA WAKATI UKICHEZA ENZI HIZO, HIVYO TULIKUA TUNAOMBA MECHI ZAKO ZIRUDIWEE, ZIRUDIWEER.....Dube atatufaa Simba.
Kwa sisi tuliowahi kucheza mpira wa ushindani tunajua.
Dube ana miaka 23 kwa sasa yaani ndo kwanza anachipuka.
Dube ana talent zote za mfungaji mahili.
Kwenye timu yake ya awali huko Zimbabwe Dube alifunga sana ktk mechi za Kimataifa hata Azam alifunga ndo maana wakamchukua ktk tim yao.
Dube ana
Kasi
Tageti
Shuti kali
Hadaa
Position vizuri
Stamina (msuli mkubwa)
Piga chenga mabeki.
NK
Dube anakilakitu kinachohitajika ktk mshambuliaji.
Humu nilisha mkosoa Mugalu siku nyingi nikashutumiwa sana kusema namchukia.
Wakamtetea kwamba ni Mkabaji mzuri.
Dube akija Simba ataendelea kukua kichezo na ki umri atakuja Kutisha baadae kidogo tu.
Mi nazungumza kama Mchezaji Mpira niliyecheza Beki na Winga kwamba Dube atatufaa Simba.
Pale Simba kwa sasa kama wanataka kusonga mbele wawaondoe.
Chikwende
Mugallu
Kagere na
Morrison ( ni mzuri ila ana mizaha sana, hayuko Siriaz ktk mechi muhimu
Wasajiri straiker wawili wanaweza kumchukua Dube na yule Beki wa AS Vita [emoji117]Djuma Shaabani ni mshambuliaji mzuri sana kuliko akikaa Beki.
Na wengine wawili.
Manara akizungumza na Rafiki yake Saidi Bakhresa atupe Dube, atatupa.
Nasema ni Manara pekee anayeweza kumshawishi Bahresa atupe Dube, wengine hawataweza.
Nazungumza kama mchezaji mpira wa zamani.
NB
Tungekuwa na Dube Kaizer Cheif tungewatoa kiulaini tu.
Basi tufanye Kaizer Chief ilifanikiwa kuifunga Simba alipocheza Nyoni.Nasikitika kukuambia kuwa kama ulidhani unaufahamu mpira basi hauujui kabisa au unaangalia magoli tu.
Mtu wa mpira huelewi ukiambiwa kaizer hawaji?
Kwamba huelewi timu pinzani ikipaki basi majukumu ya kiungo wa ulinzi yanapungua?
Yaani mtu wa mpira unamfananisha lwanga na Nyoni, kwamba nyoni ni bora. Huku ukijitapa na kuwaita watu hawaujui mpira.
Unauliza wapi team ilifanikiwa? Total failure ya timu unataka kumpa mzigo lwanga?
Kwamba simba alishinda tatu sababu ya uwepo wa nyoni.
ndo kusemaaaaAika mbee kanyi
Hoja yako hapo iko wapi?Basi tufanye Kaizer Chief ilifanikiwa kuifunga Simba alipocheza Nyoni.
Na alipocheza Lwanga ilifungwa na Simba.
Umeridhika sasa.
Tatizo lenu mnawadhaharau sana wachezaji wa ndani.
Hata mchango wa Kennedi Juma hamu uthamini.
Takwimu za mpira zinachukuliwa uwanjani na sio vijiweni.
Na wewe subiri mwakani utatokaNyie Simba si mmeshatoka au nakosea,naona kama mnacheza mechi ya marudiano hapa Jf. Wenzenu sasa hivi wanawaza nusu fainali
Hao ni watazamaji oya oya.wakuu mbona wachezaji wate wazuri sema hapo kuna mapenzi kwa mchezaji yanaweza kuingia, binafsi mi nampenda zaidi nyoni maanani mtu wuhakika sana katika kuzuia na kushikilia mpira hadi kwenda kwa mlengwa aliyemkusudia, pia si mchezaji wa kuwa na shaka nae pindi ashikapo mpira, yani anaweza shika mpira na watu wakaanza kufungua.
Hapo nimeelenzea kulingana na vile anacheza kwahyo ka mie ningekuwa mwalimu lwanga angetokea bench
Uzuri ushasema ni mapenzi yako binafsi.wakuu mbona wachezaji wate wazuri sema hapo kuna mapenzi kwa mchezaji yanaweza kuingia, binafsi mi nampenda zaidi nyoni maanani mtu wuhakika sana katika kuzuia na kushikilia mpira hadi kwenda kwa mlengwa aliyemkusudia, pia si mchezaji wa kuwa na shaka nae pindi ashikapo mpira, yani anaweza shika mpira na watu wakaanza kufungua.
Hapo nimeelenzea kulingana na vile anacheza kwahyo ka mie ningekuwa mwalimu lwanga angetokea bench
Mechi na Kaizer Chief, Nyoni kaisaidia timu vizuri kupita Lwanga.Hoja yako hapo iko wapi?
Tuwakuze wazawa hata wakicheza kawaida?
We have sarpong they have mugalu and they had lokosa,jamaa scouting yao uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani wamuwahi wao,msimu awapati bahati hiyo tenaWe have Sarpong u have Mugalu. Ngoma draw
Umekazana kuita watu oya oya badala ya kutoa hoja....Hao ni watazamaji oya oya.
Hawangalii nani ameisadiaje timu.
Kwa mechi na Kaizer Chief, Nyoni ameisadia timu kumpita Lwanga.
Yaani Nyoni alipocheza timu ilifanikiwa kuliko alivyo cheza Lwanga.
Hao ni mashabiki oya oya. Na hawajua nani kacheza wakati gani.
Lwanga alicheza dakika ngapi, nyoni naye ngapi?Mechi na Kaizer Chief, Nyoni kaisaidia timu vizuri kupita Lwanga.
Una swali lingine la kitakwimu ?
jembeulayaUmejificha kwa ID bandia halafu unakazana umecheza mpira ,nani anakujua hapa? Kama vipi jitambulishe wewe ni nani weka na picha tutakufahamu tu.
Weka wazi, alipocheza Lwanga na Nyoni, timu ilishinda wapi.Umekazana kuita watu oya oya badala ya kutoa hoja....
Unaishia kusema nyoni amesaidia ila husemi ni kipi haswa.
swadakta mkuu, pia na falsafa yangu ndo inambeba zaid na kumwona yeye kwanzaUzuri ushasema ni mapenzi yako binafsi.
Chama naye wslimsikilizia kwenu?We have sarpong they have mugalu and they had lokosa,jamaa scouting yao uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani wamuwahi wao,msimu awapati bahati hiyo tena
Weka hizo dakika na magoli kwa kila alipocheza mchezaji husika.Lwanga alicheza dakika ngapi, nyoni naye ngapi?
Naomba takwimu zao kwenye hizo dakika.