ha haha hana nguvu ya kumaliza aiseehapo anapuliza mishumaa na sidhani kama hata 10 alimaliza kabla ya kuanza kutumia pumzi ya asili ya nyuma kuanza kupuliza
khee hiyo keki ni ya mamba .. jamaa anavyoila utakuta haina hata sukari
huenda kuna nondo zaidi lakini Keki ya Mugabe ina uzito wa kilo 92 sawa na umri wake na ina taswira ya Mamba kuashiria mnyama anayempenda sana kiasi cha kumpa jina hilo Naibu wake Emmerson Mnanngwa ambaye aliwahi kuahidi kutokomeza mende yoyote atakayejitokeza kumpinga Mugabe......kabila la Mugabe maarufu kama Gushungo ni maarufu kwa Mamba piaMamba anamaanisha nini???