Mungu yuko nasi. Watajishitukia wako nje ya mjengo.Kuna dalili hawa die hard wasioweza kubali kuwa wanaweza kufa bila kuwa marais hata kwa saa moja kuamua chukua ushindi bila kura.Dalili zinaanza onekana kwa watu wengi wengine wana CCM wenye nafsi kubwa ktk chama wakisema kuwa .Chadema isitegemee pea dola, wengine wakisema 2015 kamwe CCM hawatotoa nchi, na maneno mengine km ya akina wasira, Nape na wengine kama mstaafu Shimbo.Hii ni dalili hawa jamaa,wanaweza kuja na option ya kijinga kama ya Kenya na Zimbabwe.Je nini mawazo ya watu kwenye hili?
humu JF Kuna wajinga wengi sana. mleta mada ameleta mada nzuri sana. hata mimi nimewasikia wana ccm wakisema 2015 hawawezi kushindwa. ukiwasikia wanaongea kwa uhakika kabisa. sasa ni lazima ujiulize wana mbinu zozote chafu watazotumia 2015 ili wasishidwe? mtu akileta mada jaribu kuisoma vizuri na sio kukurupuka na kusema ni magamba. vyama kama ccm hua vina njia mbalimbali za kushinda. nina jamaa yangu yupo zanzibar anasema tangu 1995 chama cha CUF kimeshinda. lakini mpaka leo hii ccm bado inaongoza. jiulizeni mbinu zao.
Embu kabla hujapost fanya edit kuna makosa mengi ya uandishi kwenye hii post,alafu upunguze speep kwani unawahi wapi?
Mgabe kaingiaje kwenye habari yako mkuu?. mia
humu JF Kuna wajinga wengi sana. mleta mada ameleta mada nzuri sana. hata mimi nimewasikia wana ccm wakisema 2015 hawawezi kushindwa. ukiwasikia wanaongea kwa uhakika kabisa. sasa ni lazima ujiulize wana mbinu zozote chafu watazotumia 2015 ili wasishidwe? mtu akileta mada jaribu kuisoma vizuri na sio kukurupuka na kusema ni magamba. vyama kama ccm hua vina njia mbalimbali za kushinda. nina jamaa yangu yupo zanzibar anasema tangu 1995 chama cha CUF kimeshinda. lakini mpaka leo hii ccm bado inaongoza. jiulizeni mbinu zao.
Mimi si mwandishi by profession .Makosa ya uandishi si issue sana ktk forum kama hii.Ingekuwepo ya forum ya waandishi wa habari kwa ajili ya kujadili skills za uandishi.Basi huko pangekuwa mahali pake kuangalia hadi nukwa.
Achana nao kaka wapumbavu wanajadili vitu vidogo vidogo kama hivyo na kamwe si ujumbe