Waswahili tunashangilia sana kwasababu Mugabe kageuka tarishi wa mawazo yetu kule UN lakini tumesahau kuwa jamaa kawakalia wazim mpaka hawapumui wanatafuta msaada hawapati. Sie tumekaliwa na CCM kama wazim walivyokaliwa na Mugabe lkn tumesahau kuwa Mugabe na CCM ni kitu kimoja na anapayuka huko UN ili apate support kutoka kwa wahafidhina wa kiafrika ambao mpaka sasa wanadhani mkoloni lazima awe mzungu kumbe kwa sasa wakoloni weusi ndo wabaya zaidi.