said rashid JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 203 Reaction score 113 Feb 28, 2014 #1 Salaam wadau wote wa JF Wanatafutwa watu mwenye elimu na uwezo wa ujasiria mali kwa ajili ya kufundisha wananchi shughuli mbalimbali za uzalishaji na biashara ndogo ndogo kupitia NGO moja iliyopo hapa dar es salaam. Aliye tayari ani PM tutafutane
Salaam wadau wote wa JF Wanatafutwa watu mwenye elimu na uwezo wa ujasiria mali kwa ajili ya kufundisha wananchi shughuli mbalimbali za uzalishaji na biashara ndogo ndogo kupitia NGO moja iliyopo hapa dar es salaam. Aliye tayari ani PM tutafutane
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 859 Feb 28, 2014 #3 Kiriba said: Ok, ni pm Click to expand... Wewe ndio PM yako iende kwake kama sijakosea sana
Kiriba JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 540 Reaction score 258 Feb 28, 2014 #4 Otoe contact
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 859 Feb 28, 2014 #5 Kiriba said: Otoe contact Click to expand... Huko PM ndio atakupa contact