Open urself Mzee ,, nikweli unahitaji mwanamke kutoka dini yoyote ?.Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi.
Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu.
Umri wangu : 28
Elimu: Bachelor degree
Dini : Roman Catholic
Kazi : Nimejiajiri Kariakoo Dar
Ni mrefu maji ya kunde.
Mke anayehitajika
Umri :18 -28
Elimu 😀iploma -degree
Dini :yoyote
Kazi :ameajiriwa au amejiari
Awe mrefu na mweupe
Asiwe na mtoto.
Please niko serious na kama huna vigezo hivyo usijisumbue kunitafuta.
Kwa aliye tayari anakaribishwa tuyajenge na Mungu akipenda ifuatie ndoa.
Jumapili njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Open urself Mzee ,, nikweli unahitaji mwanamke kutoka dini yoyote ?.
Mmhhh maybe ila bana , I assure you hii kitu huwa ndo chanzo cha ndoa kuvunjika ,,wewe shukuru kupata mwelewa.vlad... dini sio ishu ujue!mie nilikua pure sabato na nikaolewa rc! imagne mafunzo ya sabato uende rc vitu 2 tofautiii! dini mbwembwe tu nakuambia kma kuna upendo wa dhat
Mmhhh maybe ila bana , I assure you hii kitu huwa ndo chanzo cha ndoa kuvunjika ,,wewe shukuru kupata mwelewa.
Ivi unajua kuna muda utafika huyu mkuu atamlazimisha mkewe either asiende kusali/kuswali sababu tu jamaa zake wamemwambia raha ya ndoa nikusali pamoja ???
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi.
Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu.
Umri wangu : 28
Elimu: Bachelor degree
Dini : Roman Catholic
Kazi : Nimejiajiri Kariakoo Dar
Ni mrefu maji ya kunde.
Mke anayehitajika
Umri :18 -28
Elimu 😀iploma -degree
Dini :yoyote
Kazi :ameajiriwa au amejiari
Awe mrefu na mweupe
Asiwe na mtoto.
Please niko serious na kama huna vigezo hivyo usijisumbue kunitafuta.
Kwa aliye tayari anakaribishwa tuyajenge na Mungu akipenda ifuatie ndoa.
Jumapili njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mkuusikushauri kitu ktk hilo chamoto nimekiona 2006 - 2017 .sasa hivi nimezaliwa upya
Akikupa majibu unitag
KaribuYeuuuuuumieee ngoja nikanunue mkorogo baada ya week mbili nikutafute
Sent using Jamii Forums mobile app