Tambala mbovu
Senior Member
- Sep 9, 2014
- 103
- 102
Tambala mbovu unaongea kitaalam Sana
Timu Inayo cheza possession lini imewahi kucheza Kwa Kasi kubwa kuliko timu Inayo cheza direct ? Mashabiki Wana hitaji msingi wa falsafa ya Simba wa kumiliki mpira kwa kupasiana pasi fupi fupi ndio maana jina la utani ni Lunyasi Yani mpira una tembea kwenye nyasi na sio una butuliwa. Sasa nikusaidie Barca walikuwa na kazi wakati enzi za Pep ? Nisaidie una taka soka la aina gani ? Alafu Simba yenye viungo wa Zito ndio imefunga goli nyingi ligi kuu ndio imefungwa goli chache ligi kuu na Ina point sita Kimataifa....nitajie timu yenye Kasi kuliko Simba msimu huu Tanzania alafu Ina Namba nzuri kuliko Simba Ili hoja Yako ipate nguvuShida ya malon anajikutaga bonge la beki kumbe n wakawaida tu safu nzima ya ulinz n wazito ukienda viungo wazito sana ndomana simba inacheza taratibu sana
Asante kaka yangu, mara ya mwisho ulininunulia mdogo wako chakula safi Sana pale kwa mama Msomali.Kwa kweli yule mama ana pika vizuri sana.Msalimie Msomali , Karibu Sana Makao makuu ya nchi kaka yangu.Kifupi Wewe ndio umenijenga zaidi niwe na jadili kwa hoja.Nina furahi kuwa na kaka kama wewe, mwenye maarifa ya kutosha.Tambala mbovu unaongea kitaalam Sana.
Nimesema kwamba, kujiamini kupita kiasi ni kosa katika mpira kwa sababu ipo siku utaigharimu timu.Kuwa na utulivu kijana, kunywa Maji na ushushe Sukari.Kucheza mpira hakukupi kibali Cha kufahamu mpira !!! Kucheza mpira ni kipaji na ukocha ni taaluma...hapa tuna jadili jambo la kitaalamu.Alafu usitafute huruma ya kusema eti nimecheza, Sasa ukiwa umecheza ndio hoja Yako iwe imara ?
Hivi back pass ngapi kipa Kacheza mechi hiyo ? Kunaswa hiyo ndio una taka kuhalalisha kwamba Che ni beki mbaya au wa kawaida ?
Wewe huoni alifanya la maana kwani alishapitwa na angemuacha pengine lingekuwa goliMechi ya Jana Ali mshika mtu akiwa yeye wa mwisho alistahili red card.
Ila Wachezaji wa Kiafrika wana matatizo ya problem sana.Ameeanza ufaza yale yale ya Inonga.
Umemuona beki wako?Kile KICHWA alicho piga alitakiwa awepo mtu afanye cover....!!!
Kwenye mpira timu Ina jikinda kwa kanuni beki akikaba au kucheza mpira ana takiwa awepo mtu wa kucover hiyo nafasi Kisha ana kuwepo mtu mwingine wa kutengeneza balance.
Sasa kwa mantinki hii Che Malone alicheza mpira kwa KICHWA je nani alikwenda cover kwa mshambuliaji?
Swali langu nani alikwenda kucheza drop ball Baada ya KICHWA Cha Che Malone ? Balance nani alifanya.
Karibu tujadili kiufundi ndugu yangu.
Hoja ya tackle ambayo aliifanya kule Libya....!!! Kwanza Ile ilikuwa behind the opponent hivyo Che alicheza kwanza mpira Kisha acheza mguu na mwili wa mshambuliaji wa Al ahly Tripoli.
Nakusaidia tu, hakuna mtu ambaye ana weza kucheza tackle behind the opponent aka cheza mpira asiguse mwili wa mtu.Kwa sababu wakati aliye cheza Tackle ana shuka chini lazima balance yake iwe ni mwili wa aliye pembeni.
Kwaiyo refa ana angalia tukio la kwanza,Je alicheza mpira kwanza ? Au mguu aidha mwili wa opponent?
Kwa sababu haujui mpira kwako Hilo ni kosa ndugu mtaalamu!!
Duniani beki wa kati ana takiwa awe anajua kucheza standing tackle, behind tackle kwa usahihi na hizi Che ana zifanya kwa ustadi mkubwa.
Ndugu taja makosa mengine nikuelekeze kitaalamu.
KIFUPI KIKOSI KIZIMA CHA SIMBA HAKUNA BEKI ANAE WEZA KUMWEKA BENCHI CHE MALONE.
HUYU NDIYE BEKI BORA WA KISASA.
Katugharimu mechi zote ana goli zake za kurudisha mpira nyuma bila kufikisha pasi,huyu jamaa aangaliwe upyaSimba watafute Beki mwingine, kila siku anaigharimu timu mechi muhimu. Habadiliki
Huu ushauri ufanyiwe kaziHuyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.
Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.
Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.
Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.
Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Nakazia tena. Nafikiri leo mmejionea wenyewe uzito wa kutafsiri matukio ya haraka unaomkabili Malone, kwamba afanye nini na wapi. Hayo siyo makosa ya kufanywa na beki mkubwa. Asipobadilika ataendelea kuigharimu Simba. Huko mbele wanapambana halafu yeye analeta masiharaMimi nimecheza mpira siyo wa kutazama tu. Kwa mfano, kocha alikuwa anasema, ni kosa kubwa kugeuzia ndani, ni lazima ugeuzie nje na ukishindwa toa mpira nje ili wenzako wasogee mjipange upya.
Makosa anayofanya Malone ni ya kitoto si ya kufanywa na mtu mwenye jina kama lake. Kwanini hakugeuzia nje bali akageuzia ndani kwa pasi fupi? Tofautisha kati ya confidence (kujiamini) na over confidence (kujiamini kupita kiasi). Over confidence ina hasara pia. Malone akiendekeza over confidence atakuwa anachomesha tu!
Malone alikuwa na uwezo wa kugeuzia nje na kupiga volley au kutoa nje ila volley ndio ilikuwa sahihi
Ndugu yangu, vipi leo umemuonaje Malone? Bado haujaamini kwamba mimi nimecheza mpira wa mchangani na kocha alikuwa hataki kabisa kugeuzia ndani! Nilikwambia huyu jamaa anajiamini kupita kiasi na atakuwa anaigharimu sana Simba ukaniona mimi mshamba sijui soka.Ndugu yangu mpira sio sehemu Yako changua kitu kingine.Dunia nzima Ina hitaji beki anae jiamini alafu Wewe una taka beki mwenye hofu daaah.
Kujiamini kwa beki ndio Kuna tengeneza uwiano mzuri wa timu kujenga mashambulizi!!! Hebu jifunze kwanza mpira ndio uje uchangie kwanza.