Karibia mechi zote za kimataifa Che Malone ametoa Boko na sio mbili tu ulizotaka ufafanuzi .Kwanza nadhani hauna uelewa mkubwa kwenye Eneo la mpira maana umetoa tuhuma za Moja Kwa moja kwake.
Mechi ya Simba na Constantine alijifunga Hamza ni beki mbaya ?
Malone ana kawaida ya kujiamini akiwa na mpira, na hii sio kosa ni kwa sababu ana control nzuri mguuni, Jana alijaribu kupiga chenga ikishindikana Ika naswa Simba ikafungwa.
Je kosa Hilo limeondoa ubora wake ? Jibu ni Hapana kwa sababu kupiga chenga ndani ya box la Simba amefanya mara nyingi Sana na ana fanikiwa na kupongezwa. Kwa Nini kocha alimtoa ? Jibu ni kwa sababu Baada ya kupinga chenga ikashindikana akasababisha goli alipata presha kubwa muda mwingi hakuwa mchezoni.Ili kutunza ubora wake kocha aliamua kumtoa Ili kumpa muda wa kukaa sawa Kwa mechi zingine.
Mwisho TUNAPO toa maoni tuwatendee haki wale tunao watolea maoni kwa sababu wao hawapati nafasi ya kujibu hoja zetu.
Mwisho nitajie makosa ya Malone kwenye mechi Tano ndani ya ligi na makosa mawili tu kwenye mechi za Kimataifa Ili nipate mwanga wa udhaifu wake.
Ulitakiwa pia umuweke na mbadala wake. Kinyume na hapo, timu itacheza pungufu.Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.
Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.
Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.
Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.
Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Ww mzee lea wajukuu huku utakufa mapema na sukari mixa kitete....Kama si Hongo kwa refa, Jana akustahili kuendelea na mchezo, Red card ya wazi ilimuhusu.
Bahati ni mechi za shirikisho hakuna anaye jali kwakua Zina hadhi ya Ndondo cup.
Nenda kashtaki fifa ndugu zuzu...naona toka jana hujalala viungo vyote vimenywea hahahahaKaribia mechi zote za kimataifa Che Malone ametoa Boko na sio mbili tu ulizotaka ufafanuzi .
Kuna Ma Boko kaya sababisha na Simba haikuweza kuadhibiwa na mengine ime adhibiwa.
Kule Libya alitoa Boko la penalty ila Refa aka potezea
Mechi ya Constantine yeye ndiye aliye toa Boko kwa kupiga kichwa mkaa na mpira uka mkuta mfungaji aliye tandika shuti na kufunga.
Mechi ya Jana Ali mshika mtu akiwa yeye wa mwisho alistahili red card.
Mbaya zaidi Makosa mengi anayafanya mpira ukiwa katika umiliki wake au akiwa yeye anaonekana yupo karibu zaidi na mpira.
Tatizo lake anajiamini ila hajui kama yeye ni Mzito.
Ata kwenye Ligi anafanya makosa karibu Kila mechi ila waamuzi wanakosea kibinadamu.
Hamza na chem alone ni wazuri ila wazito.
Che Malone amechoka anahitaji kupumzika hilo ndio nimeliona mimi pia wacheze mabeki 3 wakiwa away na si 2 hii itamsaidia akifanya makosa watu warekebishe,aliomba hadi kutoka jana baada yakuona mpira umemkataaHuyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.
Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.
Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.
Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.
Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Awe anapumzishwa maana huyu amekuwa kama tegemeo kwa timu ya Simba sana kipindi hiki,anacheza sana makosa yapo tuHuyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.
Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.
Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.
Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.
Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Nenda zako wewe hujui mpira. Je ungelikuwa shabiki wa Arsenal enzi zile Konsciely anajifunga magoli mawili mechi Moja au shabiki wa Chelsea enzi Huth anasababisha penati mbili mechi moja mara mbili mfululizo si ungewaroga kabisa!? KUMBAVU!!!Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.
Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.
Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.
Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.
Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Che Malone mechi zote huwa ana toa boko sema makosa yake huwa yanafutwa na kipa na mabeki wenzie.Kwanza nadhani hauna uelewa mkubwa kwenye Eneo la mpira maana umetoa tuhuma za Moja Kwa moja kwake.
Mechi ya Simba na Constantine alijifunga Hamza ni beki mbaya ?
Malone ana kawaida ya kujiamini akiwa na mpira, na hii sio kosa ni kwa sababu ana control nzuri mguuni, Jana alijaribu kupiga chenga ikishindikana Ika naswa Simba ikafungwa.
Je kosa Hilo limeondoa ubora wake ? Jibu ni Hapana kwa sababu kupiga chenga ndani ya box la Simba amefanya mara nyingi Sana na ana fanikiwa na kupongezwa. Kwa Nini kocha alimtoa ? Jibu ni kwa sababu Baada ya kupinga chenga ikashindikana akasababisha goli alipata presha kubwa muda mwingi hakuwa mchezoni.Ili kutunza ubora wake kocha aliamua kumtoa Ili kumpa muda wa kukaa sawa Kwa mechi zingine.
Mwisho TUNAPO toa maoni tuwatendee haki wale tunao watolea maoni kwa sababu wao hawapati nafasi ya kujibu hoja zetu.
Mwisho nitajie makosa ya Malone kwenye mechi Tano ndani ya ligi na makosa mawili tu kwenye mechi za Kimataifa Ili nipate mwanga wa udhaifu wake.
Huko kujiamini kupita kiasi ndio kosa lenyewe. Kunguru mwoga anaishi siku nyingiKwanza nadhani hauna uelewa mkubwa kwenye Eneo la mpira maana umetoa tuhuma za Moja Kwa moja kwake.