mlingoti west
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 252
- 195
Hamna kitu hapo.anaamka asubuhi anaamrisha wabunge wote Kama watoto wake wa chekechea Leo msiingie bunge kupitia mtandao.huu ujinga kabisa.nje ya vikaoKwa hali ya siasa ilivyo ni kiongozi gani atakaefaa kuiongoza CDM tofauti na mbowe..?
Yule jamaa ana some sort of intelligence
Kama dhana yenu ya kuuwa watu ili mtawale nchi.mlingoti west,
Wana dhana moja huwa inanichekesha, eti Mbowe hawezi kuuza chama kwahiyo Mbowe akitoeka duniani CHADEMA ndo basi tena.
Wajinga mko wengi sana..na wengi ni kutoka huko kaskaziniKwa hali ya siasa ilivyo ni kiongozi gani atakaefaa kuiongoza CDM tofauti na Mbowe?
Yule jamaa ana some sort of intelligence.
Kitega uchumi chake binafsi Kila mwaka yeye ni kukidai tu chademamlingoti west,
Wana dhana moja huwa inanichekesha, eti Mbowe hawezi kuuza chama kwahiyo Mbowe akitoeka duniani CHADEMA ndo basi tena.
Kwa hali ilivyo ndani ya Chadema mh MBOWE (KUB) anapaswa KUJITATHIMINi kama Bado anafaa kuongoza CHADEMA. Kwa miaka mingi chadema imepoteza viongozi, wabunge mahiri kwa kufukuzwa au kujiuzuru, haitoshi tu kusingizia eti wananunuliwa, hawezekani hao wote.
Kwa mustakabali wa Chadema wapishe wengine waongoze. Maamuzi yako mengi ni ya kidikteta ya hovyo na yasiyo na busara yenye kuleta mkwaruzano usio wa lazima na serikali, bunge polisi na taasisi zingine. Hii inapelekea kuwapa wakati mgumu wabunge wa Chadema, viongozi na hata wanachama. Taifa hili linahitaji umoja, hivyo hivyo Chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ulichokariri au sio,Wajinga mko wengi sana..na wengi ni kutoka huko kaskazini
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Amini kua wewe ni mjinga na kipofuNdo ulichokariri au sio,
Kama ulichoandika hapa ndo werevu bas acha niendelee kuwa mjinga
Kwa hali ya siasa ilivyo ni kiongozi gani atakaefaa kuiongoza CDM tofauti na Mbowe?
Yule jamaa ana some sort of intelligence.
Mkuu Mlingoti West yakumbuke aya maneno kwanzaKwa hali ilivyo ndani ya Chadema mh MBOWE (KUB) anapaswa KUJITATHIMINi kama Bado anafaa kuongoza CHADEMA. Kwa miaka mingi chadema imepoteza viongozi, wabunge mahiri kwa kufukuzwa au kujiuzuru, haitoshi tu kusingizia eti wananunuliwa, hawezekani hao wote.
Kwa mustakabali wa Chadema wapishe wengine waongoze. Maamuzi yako mengi ni ya kidikteta ya hovyo na yasiyo na busara yenye kuleta mkwaruzano usio wa lazima na serikali, bunge polisi na taasisi zingine. Hii inapelekea kuwapa wakati mgumu wabunge wa Chadema, viongozi na hata wanachama. Taifa hili linahitaji umoja, hivyo hivyo Chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaanzaje kushindwa kwa mfano?Mkuu Mlingoti West yakumbuke aya maneno kwanza
"Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015, basi nitajiuzulu Siasa."