Muda mzuri wa kufanya mapenzi

Babu mbavu zanguuuuuuuu....at least u have made my day!

Taratiiiibu mpwa.... kuna lijitu limenikwaza sana kwenye sredi ya fyasaka.

Mi nakasirikaga sana mimi ujue.:help:
 

yani pamoja na mfungo watu
akili zao zinawaza vipochi manyoya tuu khaaaa!!

vipochi manyoya? Dah! Mbav zangu miye! Hivi yule mzee wa misamiati yupo wap? Adake na huu akamfurahishe mkewe loh!
 
Mtamanyali.....uwe na busara kwani wewe mapenzi umeanza leo..tangu tupo shule ya msingi wote na kapenz chako...ebu lete maada zenye msingi ktk kuelimisha jamii...
 
Laah (takrabu zinaa) yaan usiikaribie uzinzi.MWEZI MTUKUFU JAMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…