Mtwara: D.B SHAPRIYA Vs DANGOTE...

Hivi unategemea nani ampinge Dangote?
Kama vijihela ya Rostam tu vina tikisa wakubwa wa nchi,
itakua interest ya Dangote kuwekeza Tanzania?
 

Hopefully, vijana wakutoka Mtwara wanomiminika kuja Dar. kuzurula na mizigo mikononi mchana kutwa[ wamamchinga] watapungua kwani watapatiwa ajira huko huko kwao!!
 

Barubaru umenena vyema. Tatizo la viongozi wetu wanaotokea Mtwara kwa sasa ambao karibu wote ni wawakilishi wa chama cha mapinduzi(ccm) hawana mikakati ya kuweza kuwaunganisha wanainchi wao wakawa ktk mazingira ya kuja kunufaika na hii fursa muhimu ya gesi.

Wana mtwara walipobaini ulaghai wa viongozi wao ndipo walipoamua kwenda kwenye kutumia msuli kufikisha ujumbe.na kwa jinsi suala hili linavyoshughulikiwa inaonyesha ni jinsi gani walivyokuwa hawajajiandaa.

Hadi leo hii hakuna jibu la moja kwa moja juu ya mustakhabali wa suala la gesi zaidi ya watawala kuzuia mikutano ya kisiasa na kujadili suala la gesi. watawala wajue kuwa kama suala hili wanataka liwe endelevu ni lazima ushirikishwaji wa wanamtwara uwepo na uwe wazi kuliko wanavyolichukulia sasa hivi.

Ujio wa Dangote na wengineo hautakuwa na tija kwa wanamtwara kama ushiriki wa wanainchi wa Mtwara kwenye fursa hii nyeti na adimu haufahamiki.
 
Caspian na Shapriya ni tofauti,Shapriya wana ka-some history kidogo ka mbali kuliko Caspian as you know.
Shapriya,hii,kama,sikosei,ina,uhusiano,na,kampuni,ya,ujenzi,ya,ROSTAM,AZIZ,iliyopata,tenda,yakusomba,vifusi,katika,mgodi,wa,mwadui.
Hapo,siasa,itakuwa,ina,nafasi,kubwa.
 
Hizi kampuni ndiyo zinavyoingia kwanza zinapewa masharti kibao lakini baada ya miezi 6, hayo masharti yote hayafuatwi tena, utaona maafisa na wafanyakazi wote wageni na vibali vinatoka serikalini.
 
Mkuu chezea D.B Shapriya! Hii kampuni nayo wala haina uzalendo ni kampuni ya vyesi tu


Mtoa mada anafananisha Mjusi na Mamba kwa sababu wote wana miguu minne, lakini ukweli ni kwamba D.B Shapriya ni kajikapuni ka ujanja ujanja tu ka ujenzi,
Tena ni local Company ya hapa hapa Tanzania, kuna uwezekana aliyesema ni ya bwana Azizi akawa sahihi ,,, Welcome to db Shapirya co ltd :: .....................
 

a false dawn
 

Ni kweli its local company lakini huijui shapriya wewe!!! Na si kijikampuni kama unavyotaka watu waaamini!!
 
Ni kweli its local company lakini huijui shapriya wewe!!! Na si kijikampuni kama unavyotaka watu waaamini!!
sasa wewe unataka kulinganisha kiji LOCAL companya na lijikampuny la kimataifa? hiyo kampuni ina hela karibi sawa na GDP ya Tanzania kwa mwaka mzima.
hicho kikampuni cha ujenzi kinawezaje lingana na kampuni kubwa kama hiyo?
Point uliyosahau ni kwamba DANGOTE wanatoa pesa ya miradi yao na wanaimiliki, hao SHAPRIYA wanapiga day walk [ mpaka washinde tenda wapate mradi in other word ni kampuni mbili tofauti]
 
sidhani haya matumaini mnayatoa sayari gani lakini kama ni dunia hii the theory will not work. what i think ni kuwa tunawakaribisha makupe wengine pande hizi za kusini mwa tanganyike where natural resources are greatly un-exploited. poleni sana wabonge mtaambulia jasho tu mnofu mmh????
 
sijui haya matumaini mnayatoa sayari gani lakini kama ni dunia hii the theory will not work. what i think ni kuwa tunawakaribisha makupe wengine pande hizi za kusini mwa tanganyike where natural resources are greatly un-exploited. poleni sana wabonge mtaambulia jasho tu mnofu mmh????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…