Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,242
- 33,851
Glenn,1. Kichuguu sikioni mkuu au bado inaendelea?
2. Tusichokijua ni kusilimu peke yake au utaongezea?
3. Dini ilikuwa na nafasi gani katika ushujaa wake tofauti na angekua na dini nyingine?
Sky...Historia na wahehe kwa ujumla inamtambua mkwawa kama mkwawa jina orijino la kinyalukolo, hayo majina ya Abdallah hatujawahi kuyasikia, huenda yalitumika kwenye biashara tu baina yake mtwa na waarabu.
Pia tusipende kuchanganya lugha ya kiarabu na uislamu, lugha ni lugha na imani ni imani. kuna waarabu wengi tu wakristo, wasio na dini na wengine wachawi wanatumia lugha ya kiarabu fresh tu ..
Yaani chifu kama mkwawa aache imani yake ya kuabudu mizimu ya babu zake na kutambika akubali tu kupokea dini mpya kirahisi rahisu tu ? [emoji23][emoji23] hio danganya toto peleka chekechea aisee.... Mnachukulia mambo poa sana haya, Acheni kumvunjia heshima Mtwa Mkwawa, haya ni matusi.
Halafu naskia hapo Iringa kuna waarabu wamejipa jina mkwawa, sijui ilikuwaje.
Namuona hata huyu dogo alierithi kiti ni kama mtu wa pwani huko, kakomba vingi kwa mama yake, yaani hata dada zake ni kama mashombe shombe hivi.
kiufupi ni kama vile kizazi cha mkwawa kimepoteza uasilia, kimekuwa diluted mno.
Siyo huenda, ni fact Mkwawa alikuwa anapiga dili za meno ya tembo na kina Abushiri kwa exchange ya mashuka meupe fedha na vitu mbalimbali na hata bunduki...huenda Mtwa Mkwawa alikuwa akifanya biashara ya Watumwa na Pembe za ndovu.
Siyo huenda, ni fact Mkwawa alikuwa anapiga dili za meno ya tembo na kina Abushiri kwa exchange ya mashuka meupe fedha na vitu mbalimbali na hata bunduki.
Usitegemee Mzee Mohamed Said aliandike hili.
1. Kichuguu sikioni mkuu au bado inaendelea?
2. Tusichokijua ni kusilimu peke yake au utaongezea?
3. Dini ilikuwa na nafasi gani katika ushujaa wake tofauti na angekua na dini nyingine?
Matola,Siyo huenda, ni fact Mkwawa alikuwa anapiga dili za meno ya tembo na kina Abushiri kwa exchange ya mashuka meupe fedha na vitu mbalimbali na hata bunduki.
Usitegemee Mzee Mohamed Said aliandike hili.
Mkuu umeongea ukweli mtupu kumlink Mkwawa na Uislam ni matusi kwa jamii ya Kihehe na hilo jambo sio kweli hata kwenye matambiko ya kimila huwezi kusikia habari sijui ya Abdala huu ni Wuudesi va kwivala nye vayaweHistoria na wahehe kwa ujumla inamtambua mkwawa kama mkwawa jina orijino la kinyalukolo, hayo majina ya Abdallah hatujawahi kuyasikia, huenda yalitumika kwenye biashara tu baina yake mtwa na waarabu.
Pia tusipende kuchanganya lugha ya kiarabu na uislamu, lugha ni lugha na imani ni imani. kuna waarabu wengi tu wakristo, wasio na dini na wengine wachawi wanatumia lugha ya kiarabu fresh tu ..
Yaani chifu kama mkwawa aache imani yake ya kuabudu mizimu ya babu zake na kutambika akubali tu kupokea dini mpya kirahisi rahisu tu ? [emoji23][emoji23] hio danganya toto peleka chekechea aisee.... Mnachukulia mambo poa sana haya, Acheni kumvunjia heshima Mtwa Mkwawa, haya ni matusi.
Halafu naskia hapo Iringa kuna waarabu wamejipa jina mkwawa, sijui ilikuwaje.
Namuona hata huyu dogo alierithi kiti ni kama mtu wa pwani huko, kakomba vingi kwa mama yake, yaani hata dada zake ni kama mashombe shombe hivi.
kiufupi ni kama vile kizazi cha mkwawa kimepoteza uasilia, kimekuwa diluted mno.
Dudu...Mkuu umeongea ukweli mtupu kumlink Mkwawa na Uislam ni matusi kwa jamii ya Kihehe na hilo jambo sio kweli hata kwenye matambiko ya kimila huwezi kusikia habari sijui ya Abdala huu ni Wuudesi va kwivala nye vayawe
Smart...Ahsante kwa kumbukumbu...
Suchak,Peace upon you Mzee Said [emoji2969]
Chotera,Pamoja na kwamba mambo ya dini zote hua sipo kwa nini inaonekana uislamu wa mkwawa unawaumiza watu? Ukweli ni kwamba mkwawa alikua muislamu na wapigania uhuru wengi Tanganyika huwezi watenga na uislam anzia TAA Na TANU wazee wa ujiji, Tabora, Tanga, Pwani hadi Dar alipopokelewa mwalimu na hao hao waislamu na wakamwamini kumpa madaraka, sio kwa sababu alisoma kuliko wao la hasha, waliamua tu kumpa na nadhani baada ya kuona ni kijana na ataongoza muda mrefu ukiacha wakristo akina japhet kirilo na akina marialle ambao walitaka wao nchi yao iwe kaskazini na wapate uhuru wao huku wakiwaacha wenzao wa Tanganyika waendelee kutawaliwa miaka yote kipi kipya? Hakipo
Pamoja na kwamba mambo ya dini zote hua sipo kwa nini inaonekana uislamu wa mkwawa unawaumiza watu? Ukweli ni kwamba mkwawa alikua muislamu na wapigania uhuru wengi Tanganyika huwezi watenga na uislam anzia TAA Na TANU wazee wa ujiji, Tabora, Tanga, Pwani hadi Dar alipopokelewa mwalimu na hao hao waislamu na wakamwamini kumpa madaraka, sio kwa sababu alisoma kuliko wao la hasha, waliamua tu kumpa na nadhani baada ya kuona ni kijana na ataongoza muda mrefu ukiacha wakristo akina japhet kirilo na akina marialle ambao walitaka wao nchi yao iwe kaskazini na wapate uhuru wao huku wakiwaacha wenzao wa Tanganyika waendelee kutawaliwa miaka yote kipi kipya? Hakipo
..madai kwamba Marealle alitaka uhuru wa Wachaga peke yao sio za kweli.
..ushahidi ulioko ktk nyaraka za UN unaonyesha kwamba Marealle alidai uhuru wa Watanganyika wote bila kubagua.