hujasema unataka wa kampuni gani,kuna Oryx,Lake Gas,Manjis,Mihan Gas,Cam Gas,OilCom Gas na iliyokuwa Agip,BP,Alpha Gas Nk. Na mitungi mizuri ni ile used ndo mara nyingi haina vacuum,ikiwa mipya kabisa utatumia siku zako mbili za mwanzo kutoa hewa. Na kama unataka kwa matumizi ya nyumbani cha kuangalia ni product availability sehemu ulipo na pia zingatia bei.