Kibereko JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 383 Reaction score 908 Aug 3, 2019 #1 Habari wana jamii forum. Kama kuna mtu yoyote ambae anauza mtungi wa Gas Empty mgodo wa KG 6 naitaji aniuzie anifuate PM tuongee , Najua sasahivi Wanafunzi wengi wa vyuo wameshamaliza na wanarudi majumbani kwao.
Habari wana jamii forum. Kama kuna mtu yoyote ambae anauza mtungi wa Gas Empty mgodo wa KG 6 naitaji aniuzie anifuate PM tuongee , Najua sasahivi Wanafunzi wengi wa vyuo wameshamaliza na wanarudi majumbani kwao.