Mtu wa kununa, Le Sulk!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,753
Reaction score
7,886


"....Na kununa ni gonjwa baya sana tena la kijinga"- TIMING​

Je? nawe ni "mnunaji sugu"katika mahusiano yako? yanakunufaisha nini?
au, katika mahusiano yako unapambana vipi na kaadhia hii ya "kununiwa?"
 
kununa ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe kuwa hujapendezwa na kilichotokea. ila kama unanuna nuna uangalie na huyo unaemnununia. usije ukanuna mwisho wa siku ukajichekesha chekesha mwenyewe, mwenzio kauzu kama dagaa.
 
Kununa hakuna justification yoyote ile...
 
Reactions: Mbu
Yote tisa hivi mwanaume mzima mwenye familia inakuaje unanuna??wanawake kununa ni jadi ila mwanaume hapana jamani hebu acheni kabla sijakasirika!
 
Reactions: Mbu
Kununa hakuna justification yoyote ile...

....HAHAHAH kamanda,..ndiyo maana kwenye article wanaita Immaturity trait.
Lakini tutake tusitake, tunapambana na minuno kila siku ya mungu, ukikoswa koswa
kununiwa na mwanao, mkeo atakubamba....

...haya, ukifika kazini nako....kuna workmate naye anaona unajifanya booooosi....hataki kukutazama, wala
hata kuitikia salamu yako. Hapo hujakumbana na Supervisor wako ambaye jana yake kwenye meting na CEO
ulijidai una Strategy nzuri kuliko yeye!


Almuradi siku nzima umenuniwa tu!
 
Yote tisa hivi mwanaume mzima mwenye familia inakuaje unanuna??wanawake kununa ni jadi ila mwanaume hapana jamani hebu acheni kabla sijakasirika!

what jistifies M
wanamke kununa banaaa?
Hebu nambie, kwanini nawe huwa unanuna?
Inakusaidia nini?
 
what if,.....uliyemnunia akawa naye ana ku ignore? Utanuna kwa muda gani ili 'ujumbe' umfikie?

kununa ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe kuwa hujapendezwa na kilichotokea. ila kama unanuna nuna uangalie na huyo unaemnununia. usije ukanuna mwisho wa siku ukajichekesha chekesha mwenyewe, mwenzio kauzu kama dagaa.
 
Yote tisa hivi mwanaume mzima mwenye familia inakuaje unanuna??wanawake kununa ni jadi ila mwanaume hapana jamani hebu acheni kabla sijakasirika!
Kwi kwi kwiii.... Kuna midume inanuna?

hata kwa mwanamke ni uzaifff w hali ya juu
 
Wife mie huwa akinuna...nahamiaga kwa nyumba ndogo....Mbona huwa anajirudi mwenyewe.....
 
mtu akinuna mpotezee.... Fanya mambo hako tena uzuri ndo kipindi muafaka cha kurudi saa saba usiku...si kanuna? Atakuulizaje?
 
kwan kununa inasaidia nin? Kama ni njia ya kufikisha ujumbe why usimweleze m2 akaelewa tatizo kuliko kununa? Kununa ni udhaifu mkubwa sana c kwa mwanaume wala mwanamke
 
kununa ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe kuwa hujapendezwa na kilichotokea. ila kama unanuna nuna uangalie na huyo unaemnununia. usije ukanuna mwisho wa siku ukajichekesha chekesha mwenyewe, mwenzio kauzu kama dagaa.

na ndiyo dawa ya mnunaji....
 
Reactions: Mbu
jamani mie sipendi mtu anaenuna, ukinuna utazeeka bure bwana. ila kama mtu amekukosea afu we unatabasamu yeye mwenyewe atajishtukia na kukili kutorudia kosa lake.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…