Asalaam aleykum!
Nianze kwa kuwapa hongera wabunge kwa kazi kubwa mlioifanya juu ya wezi wa pesa za umma kwenye account ya Escrow.
Kwa maridhiano yenu leo; mmeliweka Taifa kwenye hadhi yake na watanzania tumewaamini, hasa wabunge wa ukawa na ukawa ccm.
Mzee Pinda sasa Zingatia ushauri wa Mbowe chapa kazi. Tuko pamoja. Poleni sana watuhumiwa wote; karibuni uraiani kuna jembe la mkono njooni tuunge mkono kilimo kwanza, maisha bora kwa kila mtanzania.