Itakuwa alitaka kuweka TBC 1 kwenye FlashMkuu alikuwa anataka kuhamisha chanel gani kutoka kwenye tv hiyo na kuhisevu pengine???
Kama ni tbc1 acha izime kabisa na ife hisirekebishike kabisa....maana kuangalia hii channel ndiyo zao la watu wasio julikana wanaosumbua nchi kwa kupandikizwa ideology za kusifia tuu...Itakuwa alitaka kuweka TBC 1 kwenye Flash
Hata akimpiga itapona??Dah mimi nakumbuka utotoni nilitumbukiza radio ya betri za national kwenye maji, ilikua ya baba,,hiko kipigo sikisahau, sembuse ingekua tv[emoji23]nisingeonekana nyumbani nadhani, hongera kwa kuwa mzazi bora tv itatengenezeka tu usiogope
Ndio maana nikampongeza kwa kuwa mzazi bora kwa mtoto wake ,by the way mimi sisupport mambo ya kupiga watoto na wanawake in general(special groups)Hata akimpiga itapona??
Mkuu usitunze vitu vibovu ndani au aliokota nje?Hbr ndugu
Kama kichwa hapo juu dogo kachomeka USB mbovu na TV ikazima ukiiwasha inawaka lkn haidisplay kitu chochote n ukitumia king'amuzi unaweza sikiliza redio kwenye sabufa naomba msaada wenu kujua tatizo hili
Je ni kubwa sana ?
Na litanikost kiasi gan?
Na leta kwetu kwanza ndg kbla sijakimbilia kichwa kichwa kwa fundi akanipa sana mtonyo na zama hizi za nanii
Lengo la kumuadhibu mtoto ni kumkanya ili siku nyingine asirudie.Hata akimpiga itapona??
Ingekuwa shuleni hawachapwi viboko shule zingekuwa km sokoni au sehemu ya bar.Ndio maana nikampongeza kwa kuwa mzazi bora kwa mtoto wake ,by the way mimi sisupport mambo ya kupiga watoto na wanawake in general(special groups)