stargirl JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 462 Reaction score 541 Sep 27, 2017 #1 ambao kuangalia taarifa ya habari ni tatizo ,,na kukaa ukariri tarehe ya kila tukio duu Mnaojua vyema jibuni
ambao kuangalia taarifa ya habari ni tatizo ,,na kukaa ukariri tarehe ya kila tukio duu Mnaojua vyema jibuni
Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,776 Sep 27, 2017 #2 Hapo wamewapatia kweli
Lodrick Thomas JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 1,339 Reaction score 2,432 Sep 27, 2017 #3 Duuuuuhhhh!!! Yale yale ya TRA
Lodrick Thomas JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 1,339 Reaction score 2,432 Sep 27, 2017 #4 Nilichogundua mchujo wa kwanza ni maswali ya ujumla.. Hasa matukio yanayotokea nchini
U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Sep 27, 2017 #5 Daaadeki!!
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,211 Sep 27, 2017 #6 Hivyo hapo inakuwa ni nafasi ipi ya kazi ambayo wanatoa mtihani kama huo?
kobilo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 811 Reaction score 1,518 Sep 27, 2017 #7 Mbona maswali yako irrelevant na hizo positions , sasa mambo ya uchaguz wa Kenya na mambo ya halmashauri za Tanzania wapi na wapi?
Mbona maswali yako irrelevant na hizo positions , sasa mambo ya uchaguz wa Kenya na mambo ya halmashauri za Tanzania wapi na wapi?
mind ur bussness JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,050 Reaction score 743 Sep 27, 2017 #8 Sawa sawa, milango ipo lakini tupo baadhi yetu tunapitia madrishani. Endeleeni kubanana na mlango mmoja. Ni sauti ya jamaa yangu akikuwa akini address whats going on in most of interviews. Shyeeeedah
Sawa sawa, milango ipo lakini tupo baadhi yetu tunapitia madrishani. Endeleeni kubanana na mlango mmoja. Ni sauti ya jamaa yangu akikuwa akini address whats going on in most of interviews. Shyeeeedah
Jagood JF-Expert Member Joined Aug 15, 2016 Posts 2,144 Reaction score 2,397 Sep 27, 2017 #9 mind ur bussness said: Sawa sawa, milango ipo lakini tupo baadhi yetu tunapitia madrishani. Endeleeni kubanana na mlango mmoja. Ni sauti ya jamaa yangu akikuwa akini address whats going on in most of interviews. Shyeeeedah Click to expand... Et wengine madirishani. .umenifurahisha sana
mind ur bussness said: Sawa sawa, milango ipo lakini tupo baadhi yetu tunapitia madrishani. Endeleeni kubanana na mlango mmoja. Ni sauti ya jamaa yangu akikuwa akini address whats going on in most of interviews. Shyeeeedah Click to expand... Et wengine madirishani. .umenifurahisha sana
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,277 Sep 27, 2017 #10 Tanzania kuna wajinga wengi kwa kweli
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Sep 27, 2017 #11 Safi sana....
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,402 Reaction score 2,254 Sep 27, 2017 #12 kwa kweli mtihani unakuwaga na mpaka (silabasi),sasa apo wanaweza kuuliza chochote wanachokifikilia na ukifeli unaonekana mjinga,kwa njia hiyo yani hata wewe ukiwatungia awapiti
kwa kweli mtihani unakuwaga na mpaka (silabasi),sasa apo wanaweza kuuliza chochote wanachokifikilia na ukifeli unaonekana mjinga,kwa njia hiyo yani hata wewe ukiwatungia awapiti
Y YABUUU JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 1,524 Reaction score 1,428 Sep 28, 2017 #13 Duu jaman