Natanguliza shukran kwenu,..tayar mtihani WA kidato cha nne 2017/18 umeshaanza mapema asubuh ya Leo
Nawaomba ndugu zangu wote katika jukwaa hili la wanna jamii tufunge maombi kwa kuwaombea ndugu zetu ,vijana wenzetu wadogo zetu ,watoto wetu waweze kufanya vzur, Na hata kutimiza Moja ya ndoto zao za Marsha ktk mtihani huu ulioanza asubuh ya leo