Unaharibu sasa.....Mmeibania Singida bure, singida angepita, am sure wangechukua kombe
Ukocha ni u mbuzi kafara.Banchikaa anashida gani?
Kwa kaliba ya uchezaji wa Baleke na Onana, hata angekuja Guardiola hakuna kitu angefanya.Banchikaa anashida gani?
Simba inahitaji reform kubwa sana kuanzia uongozi hadi wachezaji wao. Wakiendelea kuchukulia poa na kuendelea kucheza wanavyocheza msimu huu kwenye NBC premiere league hawapati hata nafasi ya tau.
Lundo kubwa la wachezaji ambao hawana faida na uwezo kiuchezaji.Kocha hana shida
Je shida ipo wapi
Babacar Sarr simuelewi na nadhani hii Simba ina kitu cha hovyo kwa viongozi si bure.Hii ni kumbukumbu, itaishi.
Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani.
mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah , SSC !!
hii ni ishara kuwa hamna safu ya ushambuliaji na hamna striker machachari.
Kumbukeni pia SSC ipo loaded, wachezaji wake wote , ni mtihani mkubwa !
Je ni nini tatizo la SSC?
Mo Dewji na uwekezaji wake ni tatizo ?
Viongozi wa timu ni tatizo ?
Wachezaji ni tatizo ?
Kamati ya Usajili ni tatizo !?
Kama kuna mshabiki mwenzangu wa SSC , aliyemuelewa huyu Sarr aniambie !
Sajili za kufanya promo kwenye social media bila uwezo binafsi,, mmmh Sinba SC ,!!!!
Narudia Tena SSC mmejaza wazee kwenye uongozi mnatakiwa kuwa na young and fresh blood kwenye CEOs na nafasi nyingine.
Sarr mmepigwa, na mtaendelea kupigwa
Nadhan wachezaji wa SSC wanahitaji pschychological treatment ili kudevelop courage na morally ya players kama Dar Young African players.
Mmeibania Singida bure, singida angepita, am sure wangechukua kombe
Congratulations Mla-ndege for the good work , umetupunguzia kelele hapa mjini. Yule Chinga angefumua sana domo lake.
Ahh kumbe familia [emoji13]
Babacar Sarr simuelewi na nadhani hii Simba lina kitu si bure.
Kama mwalimu ndio kataka mchezaji kama yule,na tukadanganywa kwa kuletewa eti kapigwa picha anamkaba Ronaldo!!!Basi kweli sisi ni mbumbumbu.
Na bora hatujatwaa kombe maana singekuja sifa za kijinga sana kwa akina onana na huyo jamaa.
Alianzisha Uzi ni aliefungwa 3-1 na APR. Anahangaika kuchochea migogoro huku timu yake iliKufungwa mechi moja tu mmekuja na nyuzi zaidi ya 100!.
Benchika akifikisha mwezi wa 4 nimekaa pale!
Hamna kitu kwa huyo sarr. Kwa lugha rahisi tunaweza kusema kwa babarosa tumepigwa na kitu kizito.Vipi Sarr , umemsoma au tumpe muda. Maana mlimpa promo snaa kwa social media [emoji38]
Aah Kumbe Familia
Alianzisha Uzi ni aliefungwa 3-1 na APR. Anahangaika kuchochea migogoro huku timu yake ili
furushwa robo fainali.