Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
mambo ya ngoswe mwachie ngoswe, tukutane decemba 13
Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar
Kikosi tafadhali
Hili li timu aisee linakera kweli. Mechi ya kirafiki tunapigwa....:confused2:Yaani hili litimu kama arsenal tu!! Kama linapona hivi halafu linarejea tena!!
Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar
Karibu ni tena vpl muendelee kugawa points kama Arse8!!
sembo wakimataifa Katavi Amavubi Makoye Matale yahoo Nakapanya kwa taarifa tu!!
Tulificha Makucha. Jumamosi utaiona Simba Sc iliyokamilika.
Kumbe Hamkutaka Kushinda?
Usikimbie hapa wakati kandambili wanawapakataTulificha silaha, kuwa mvumilivu jumamosi haipo mbali.
Mfa maji hakosi kutapatapaTulificha Makucha. Jumamosi utaiona Simba Sc iliyokamilika.
Yaani hili litimu kama arsenal tu!! Kama linapona hivi halafu linarejea tena!!
Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar
Karibu ni tena vpl muendelee kugawa points kama Arse8!!
sembo wakimataifa Katavi Amavubi Makoye Matale yahoo Nakapanya kwa taarifa tu!!
Mwanzisha Uzi Huu Mbona Hujawahi Kutoa Yale Matokeo Ya Yanga Walipocheza Mechi Na Omba Omba Wa Uturuki Na Yanga Full Mkoko Wakapigwa 7 Kwa 1? au Unadhani Ni Siri? Unajua Ni Kwanini Mwandishi Mahmoud Zubeiry Hapatani Na Viongozi Wa Yanga? Jamaa Alishuhudia Hicho Kichapo Chenu Na Viongozi Wenu / Wako Ya Yanga Wakataka Kumhonga Ili Asiyatoe Hayo Matokeo Na Yeye AKAWADINDIA ( Kuwagomea ) Na Akayatoa Kwa Waandishi Wengine Na Tukazinyaka. Afterall Nimefungwa Na Mbabe Wako Wa Mara Kwa Mara Mtibwa Ila Nimeweza weza Kuchomoa Angalau Hata Vigoli Viwili Je Wenzetu Nyie Yanga Rekodi Yenu Kwa Mtibwa Sugar Ipoje? Mmeshawahi Hata Kuchomoa Tu Magoli Yao? Sasa Kikosi Cha Juzi Ni Danganya Toto Tu Na Full Mziki Wa MNYAMA Utauona J'Mosi Hapo Taifa.