Kama una kazi ya kuingiza kipato na kuweka akiba, jaribu siku moja kutembea kwenye mikoa na wilaya mbalimbali Tanzania, hutarudi bure kifikra. Nenda Kigoma, Mbeya, Tanga, Katavi, Iringa, Pwani (Pangani, Mafia, Kilwa, Kisarawe), Ruvuma, Mtwara, Lindi, Mwanza, n.k. Jaribu.