Mtei: Uongozi wa Rais Magufuli ni kama wa Mwl. Nyerere

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,976
Mzee Mtei ametoa pongezi na kusema, Rais Magufuli ni kiongozi ambaye ameyatoa maisha yake ili kupambana kikamilifu na changamoto na pia matatizo ya Taifa yaliyosababishwa na uongozi mbovu katika usimamizi wa uchumi na raslimali nchini.

Amempongeza Rais Magufuli kwa kuwa kiongozi asiyependa mzaha katika kupambana na ruswa, ufisadi, uzembe na viongozi wabadhirifu wa mali za umma.

Mzee Mtei amemfananisha Rais Magufuli na Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere katika kukabiliana na masuala ambayo ni changamoto na muhimu katika taifa.

Amemalizia kwa kusema ana furaha kuona Rais Magufuli anapambana kuhakikisha uchumi wa nchi unajengeka katika msingi imara kwa sababu viongozi wa nyuma wamejenga uchumi ambayo siyo endelevu kwa taifa.

''Rais Magufuli anatoa mwanga unaoonyesha makosa ya nyuma na nina furaha kuona Watanzania wanapewa tena nchi yao na kufufua viwanda vya ndani’’ Mtei alisema.

Kwa habari zaidi soma hii article katika gazeti la The Guardian on Sunday.
 
Pres. Magufuli is a man of his word and has walked the talk without mincing words.
It is too early to measure tangible results, although the president has taken some commendable actions.

The man is driven by the desire to succeed rather than a fear of failure.
People in Tanzania believe sincerely that there’s a new sheriff in town, namely Rais Magufuli.

Kuna baadhi wanadai anafanya maamuzi kwa kukurupuka lakini pia wengine wanasema, ni bora kutoa maamuzi kwa haraka bila kuogopa kukosea kwa sababu makosa hurekebishwa.

Hata mahakama baada ya kusikiliza ushahidi na kuchambua, mara nyingine hujikuta ikitoa hukumu ambazo baadaye hugundulika zilitolewa kwa kukurupuka/kimakosa.
Kilicho cha muhimu ni dhamira ya kweli katika kutoa maamuzi ya haraka.
 
Asked to comment about achievements his party had registered since its establishment, Mtei could not hide his pleasure on seeing the ruling party, CCM, adopting policies his party envisioned.

The veteran politician said he was proud to see the party he founded giving the ruling party a run for its money since the reintroduction of multiparty democracy in the 1990s.

“I’m happy to see CCM adopting our manifestos. The ruling party is living our time – and that is how a country should be run…CCM has become Chadema in action,” Mtei remarked.

Mtei was however quick to point out what he described as alarm at the deteriorating levels of democracy following the government’s decision to ban live telecasts of parliamentary sessions and the prohibition of public rallies by the opposition.

“We have evolved a system where in order for the state to neutralize the opposition, the police are called in. This is utterly unhealthy for the country,” he cautioned
 
Toeni ujinga hapa
Kama Kuna positive actions however few tutasifia lakini kwa huyu dikteta wenu hakuna mengi ya kujisifu
Je hali ya maisha imekuwa bora kwa MTz wa kawida?
Nini cha kujisifu miezi tisa yangu ashike madaraka?
Achemi utani anaposema atawasaidia wanyonge kama Mwalimu Ni kuwatimua UDOM?
Ni kuwapandishia bei ya sukari?
Ni kumpa wadhifa Mrema?
Ni nini?
Acheni mzaha na maisha ya wa Tz na Mhima wenu
 

Nawa uso halafu rudi usome ulichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…