wakicheza mpira, mching' alivyoscore kaanza kubondwa na wasudani....eeh kidogo mtanzania nae kaingilia. Jamaa kakata roho wakati anapelekwa hospitali.
Sasa hivi zinasambazwa msg waafrika wote wanaoishi india wawekewe sumu kwenye vyakula kulipiza kisasi, tumetukanwa sana waafrika kwenye hili tukio. Jamaa wamekuwa arrested, wasudan 2 na mtanzania mmoja.
Wamefanya uhuni! kuua mtu bila sababu ya Msingi? kumbuka kila mtu ana haki ya kuishi! Hivyo hatua kali zichukuliwe dhidi yao! na nyie msio husika poleni! lakini kumbuka ndugu yako akiuawa! reaction yake sio ndogo.