yuko leba!!!! Hapana mimba inatunga sasa watoto wangapi atajifungua itajulikana wakati anakutana na daktari bwana yanga lakini kwanza aende kumwona nesi azam kwa hiyo simba akijifungua rage atakua mjomba na wapenzi watakua wajomba na mashangazi tuombe mola ajifungue kama watoto wavilli au watatu hivi.