D dutch2 JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 1,009 Reaction score 977 Nov 30, 2017 #1 Kwenye simu yangu sielewi kabisa nimerestart simu bado app zingine ziko active
A Ahmed _ba'juun JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 251 Reaction score 203 Nov 30, 2017 #2 Tayar ushakaa fresh
D dutch2 JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 1,009 Reaction score 977 Nov 30, 2017 Thread starter #3 wamekuwa tanesco siku izi
B babu na mjukuu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 3,949 Reaction score 6,754 Nov 30, 2017 #4 Kumbe ni wengi wamepata tatizo hilo. Lakini kwa sasa naona wako vizuri
N Ngahekapahi JF-Expert Member Joined May 8, 2012 Posts 553 Reaction score 371 Nov 30, 2017 #5 Nilidhani mimi peke yangu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,438 Reaction score 100,721 Nov 30, 2017 #6 Duh hata kwangu, ohoooo Wachina wameshapewa tenda tayari... Twafaaaaaa
Gulio Blog JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,056 Reaction score 4,124 Nov 30, 2017 #7 dutch2 said: kwenye simu yangu sielewi kabisa nimerestart simu bado app zingine ziko active Click to expand... watu wengine muwe mnapigwa ban kwanza haiwezekani jukwaa la uchumi unaleta uzi huu
dutch2 said: kwenye simu yangu sielewi kabisa nimerestart simu bado app zingine ziko active Click to expand... watu wengine muwe mnapigwa ban kwanza haiwezekani jukwaa la uchumi unaleta uzi huu
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,984 Reaction score 30,871 Nov 30, 2017 #8 Kuna muda ulikuwa unazingua kichiz yaani Hadi rafiki yangu kupenzi aliyekuwa anachat na mimi ikabidi akalale
Kuna muda ulikuwa unazingua kichiz yaani Hadi rafiki yangu kupenzi aliyekuwa anachat na mimi ikabidi akalale
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,984 Reaction score 30,871 Nov 30, 2017 #9 Ila bado nashindwa kupakuwa video nlizotumiwa.