Mtandao wa Hallotel

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,040
Reaction score
22,587
Kwa kipindi cha kama wiki tatu ukipiga au kupigiwa hakuna masikilizano mazuri kunakuwa na kama mawimbi fulani.

Leo niliamua kumpelekea fundi simu nikifahamu ina tatizo ndio aliponiuliza kama Natumia hallotel na baada ya kumjibu hivyo ndio aliponiambia kuwa nitumie line nyingine kama nitapata shida ndio nimpelekee

Nashauri kampuni husika ifanye marekebisho ya haraka tofauti na hapo itakuwa ni tabu Maana namba inatumika kibiashara inaleta usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…