Mtandao wa crdb bank vipi?

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,662
Wakuu najaribu kuingia mtandao wa CRDB Bank lakini nashindwa....Kuna vitu vimeingiliana mfano naona matangazo ya biashara ya magari badala ya kupata fursa ya kuniruhusu kuingia ndani ya mtandao. Je, itakuwa ninini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…