Yaani huyo kumla naanza na nyonyo huku nimeshikilia paja!
nipo tuu naona pande za nyakato mnatutenga!!!!!Shikamoo Mzee wangu, mwanao nimekukosa sana. Upo?
charminglady,umbo la huyu kuku wako linanitamanisha na kunikumbushia meeengi sana ya uchungu nisiyoweza kueleza hapa.
Unafanana nae mkuu
nipo tuu naona pande za nyakato mnatutenga!!!!!
hapana ni umbo la kukuni kuku
hapana ni umbo la kuku
Anafanana na nani???
Na muweka picha
Anapatikana wapi
namna ya kumla ni kuanza na kwenye nyonyo alafu unafuata katikati ya mapaja alafu paja lenyewe unaendelea kwingine
Mh!
Hivi wewe ni MISS chagga au MR chagga??
Sokoni Kariakoo....
Napenda breasts....
Namtaka wewe ndo unaeuza?
Kuna kale kasehemu cha nyuma bwana.....usikipimie aiseeTeh teh... sio upapa???