A afredy anthony Member Joined Dec 1, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Dec 17, 2014 #1 Nina green tomarine calate 36 naomba kujua thaman yake kabla cjatafuta soko
T TOURMALINE Senior Member Joined Jan 4, 2013 Posts 125 Reaction score 25 Dec 17, 2014 #2 Kwanza sio green tomarine, ila ni green tourmaline.Kusema ukweli biashara ya gemstone ni ngumu sana kwani inaangalia vitu vingi sana.Ila kwa soko la kawaida mara nyingi inakuwa $120-250kwa carat moja.Kazi kwako
Kwanza sio green tomarine, ila ni green tourmaline.Kusema ukweli biashara ya gemstone ni ngumu sana kwani inaangalia vitu vingi sana.Ila kwa soko la kawaida mara nyingi inakuwa $120-250kwa carat moja.Kazi kwako