private agent
Member
- Apr 6, 2016
- 83
- 103
Kwa sasa boss nakushauri ungenunua mpunga kisha ukauza mchele ili kupata faida ya kutosha kuongezea mtaji na kusogeza maisha, kisha mwezi wa kumi hadi wa kumi na mbili ndo unaanza harakati za kulima mwenyewe huo mpungaHabari zenu wakuu.
Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu.
kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano tu as a net salary. Sasa katika pitapita zangu nikaotea kama ka millioni tatu hivi.
Nimeamua kuingia katika kilimo kwa kuwa kilimo nahisi ndo utajiri japo inabidi ukomae hasa, na mimi nimeshajitoa, na kilimo nilichoona kinafaa kwa kuanzia ni mpunga kwa kuwa nilishafanya biashara ya mchele kwa maana hiyo soko kidogo nalifahamu. Ila kama utakuwa na ushauri mwingine na mchanganuo wa uhakika naweza pia kufikiria kubadili, maana hapa niko katika upembuzi yakinifu.
Katika hizi millioni tatu nimetenga laki tano kwa ajili ya kukodisha ardhi hivyo nimebaki na millioni mbili na nusu. Naomba kwa wataalamu kwa hela hii naweza kuanza na hekari ngapi japo kwa kuanzia tu.
Asante mkuu, hiyo business naindesha kwa sasa. Nina wazo kama lako hilo kwa kuwa ata msimu wenyewe wa kulima unaanza kipindi hiko hikoKwa sasa boss nakushauri ungenunua mpunga kisha ukauza mchele ili kupata faida ya kutosha kuongezea mtaji na kusogeza maisha, kisha mwezi wa kumi hadi wa kumi na mbili ndo unaanza harakati za kulima mwenyewe huo mpunga
Asante mkuu, hiyo business naindesha kwa sasa. Nina wazo kama lako hilo kwa kuwa ata msimu wenyewe wa kulima unaanza kipindi hiko hiko
Bado nafanya mkuu, kwa sasa niko Dar, ila biashara naifanyia Kanda ya ziwa.Bado unafanya hii biashara??uko maeneo gani?
Kanda ya ziwa mkoa gani unachukua mzigo kaka?Bado nafanya mkuu, kwa sasa niko Dar, ila biashara naifanyia Kanda ya ziwa.
Vipi ulifanikiwa kuendeleza biashara hiyo ya kilimo?Habari zenu wakuu.