J jeff09 Senior Member Joined Nov 12, 2013 Posts 178 Reaction score 83 Jan 23, 2015 #1 wakuu habari! Nina wazo la kufungua biashara ya kuosha magari apa dar,je natakiwa niwe na mtaji kama kiasi gani ili niweze fungua medium class carwash. Nawasilisha wadau
wakuu habari! Nina wazo la kufungua biashara ya kuosha magari apa dar,je natakiwa niwe na mtaji kama kiasi gani ili niweze fungua medium class carwash. Nawasilisha wadau
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,080 Reaction score 3,771 Aug 30, 2016 #2 wewe una sh ngapi tuanze hapo?