Mkuu Kulingana na hapo kwenye red ni bora azirudishe tu hizo kwa baba yake, au baba yake ampe kwa dhumuni la kula na si kuzalishaHabari za muda wadau?
Nina rafiki yangu ni muajiriwa serekalini.
Kapewa 10m na babake ili ajiimarishe kiuchumi.
Hajajua mpaka sasa afanye nini kwani kapewa kwa masharti kuwa afanyi biashara au chochote cha kuzalisha ila asije akaingiza kwenye mambo matumizi mengine kama pombe, wanawake nk.
Kaniomba ushauri kwani hajajua mpaka sasa afanyaje ukizingatia muda wake ni mdogo kwani anabanwa kazini na anajiendeleza kielimu na hana uzoefu wowote na biashara.
Nimefikiria kumshauri anunue gari ndogo ya biashara kama suzuki carry au hata bajaji kitu amabcho naona hakihitaji usimamizi mkubwa na kina hesabu inayo eleweka. Nimeona sio vibaya kuwashirikisha wadau wengine kwa mawazo zaidi.
Karibuni kwa michango.
Umesmea yeye anasoma na anafanya kazi
Sasa kweli huyo baba gani anaweza kukubali mwanae amuongezee majuku ya biashara wakati akiwa anasoma.
Pili,yeye anasoma ili aje awe nani na ndoto zake ni zipi.Hiyo itamsaidia ili aweze kujenge uwezo.
Ushauri:
a)Akanunue Hisa kwnye Soko la Hisa,hapo atakuwa hana preasure,ikifika muda pesa inaingia yenyewe
b)Au anunue Carry,ambayo Hesabu yake ni Tsh:25,000 kwa siku na Bei yake hazidi Tsh:7.5m
Change itakayobakia anunue Bodaboda Moja yenye hesabu ya 7,000 - 10,0000 kwa siku ambapo bei ya haizidi 2.1m.
Kwa Maana hiyo ni kwamba ndani ya miezi kumi tu anakuwa amerejesha Pesa yote na kuanza kupata faidi sasa.
c)Pia naweza kufikiria suala la kuanzisha Mgahawa wa chakula.
Tafute eneo la watu wenye kipato cha kawaida,maana ndio watumiaji wazuri,aweke pawe pasafi na wahudum wazuri.Hapo atatengeneza pesa nzuri sana .
Yangu ni Hayo Tu.
Mkuu Kulingana na hapo kwenye red ni bora azirudishe tu hizo kwa baba yake, au baba yake ampe kwa dhumuni la kula na si kuzalisha
Mkuu Kulingana na hapo kwenye red ni bora azirudishe tu hizo kwa baba yake, au baba yake ampe kwa dhumuni la kula na si kuzalisha
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, tunakukaribisha kufanya biashara nasi. Wewe ni mfanyabishara, unataka inua biashara yako, unataka kupanua mipaka ya biashara yako,unataka bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nzuri!? Basi CWB ni mshirika wako mkuu katika bishara yako. Tupo kwa ajili ya kuipa kipaombele biashara yako na kutimiza ndoto zako!! New attempts, New possibilities.
zinahamishiwa Dsm kutoka wapi?Chinaworldbuz Company Limited, wasiliana nasi kupitia namba +8613524159707 au email juely2006@yahoo.com, Januari 2014 ofisi zetu zitahamishiwa Jijini Dar es Salaam.