Kama ni duka la vifaa vya ujenzi unawza ukaanza poleole mfano ukanunua baadhi tu ya vifaa fulani kama cement na nondo pekee au tile whatever. Then vikishauzika una add ile profit kwenye mtaji unarudisha kwenye circulation ila inabidi uwe mvumilivu mwenye moyo wa kubana pesa maada ya miezi michache unaweza kukuta duka lako lipo full kabisa. Pia kuhusu bi a pango nenda katafute mahala ambapo nyumba na makazi ya watu yanajegwa jengwa hapo unapata assuance ya wateja na vilevile bei ya frame inakuwa chini kidogo ukilingaisha na mjini. Haya ni mawazo yangu tu.