Mtafute Mwenzio aliko

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Mwiliwe, Mwiliwe bhahungu na bhakobwa???

Jumapili ya leo najua imetawala amani pande zote,
Kwasie tusiokuwa na mitoko leo,tulioamua kupumzika hebu tupeane habari,salaam,za pande hizo...Tuwaite na wengine jamani, tusogeze muda mbele siku iishe haraka...

Naomba kuuliza kidogo,eti nasikia JF tumejaa sana masingle afu masingo wakiunganikana na kuwa dabo wanabaki kupigana ngwara za kitandani na kumwagana.Kwanini masingo tusiimarishe kupendana kweli eti jamani?

,waliooa wachache wao wanasaka michepuko tu humu,ni kweli???


 
huku kwetu leo ni sikukuu ya watoto niko na wanangu hapa tunakula raha,baadae nitaweka picha.
nalog off
 
namtafuta sigle mwenzangu aje jaman tufarijiane,,huu upweke huu ni shidaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…