Tatizo tafiti ya Twaweza haikufuata taratibu za research,kwani mtaalamu wa maabara huwa haugui malaria kuwa atajipimaje?ila procedure ya TADIP ilikidhi vigezo?
Niliposikia matokeo ya uchaguzi ya kila kituo yatabandikwa hapo hapo kituoni baada ya mawakala kuyaafiki,kusaini na kubaki na nakala kwa kila mmojawao nimefarijika sana. Haya mambo mengine sijui utafiti ni kutuchanganya wapiga kura.