Mtabadilika lini jamani...............

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
319
Habari wakuu.......

Wakuu kunasuala ambalo linanichanganya naomba ku-shere nanyi......
Siku zinayoyoma ...maisha magumu balaa....kijana wa miaka 28 unakua kama mzee wa miaka 60 kwa kuiwazia pesa.....
Baada ya kumaliza ujenzi wa kanyumba changu nikaona nianze mipango ya kusaka mchumba....nilitaka nifate taratibu zote kama mwongozo wa imani yangu ulivyo.......
...Paaap...binti kutoka pemba....kufuata taratibu natajiwa 3,000,000/=mahari tena kwa huruma,,,,
...Paaaap....binti wa kitanga.........vikao kibao mwishoe jumla kama,2,000,000/= baada ya maongeziarefu ......

Binafsi sinauwezo wa kulipa gharama hizi kwasasa....mabinti wananihimiza nikalipe Mahari ili nioe

Nia ninayo lakini gharama too much hamful.......hivi nyie wazee hamjui kua vyuma vimekaza?
Mnataka tuwapige mimba mlete lawama si ndio?

Leo nimepata taarifa kua mikoa ya kusini kunaunafuu wa suala la mahari je kunaukweli wa jambo hili tuje?

Wazazi tupunguzieni Mahari hali ningumu jamani.....vinginevyo mtaacha tuvunje amri za mungu,,,,

Viongozi wa Serikali yetukwani bado tu hamja maliza tu kuinyoosha hii nchi ,,,,
Malizeni jamani hali ningumu kitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama nina uwezo na hata kama nimependa ila siwezi lipa mahari inayoanziä milion nakuendelea
 
Wazazi wengi wanafanya makosa ya kiufundi bila wenyewe kujua,utakuta binti ameridhika na mwanaume lakini wazazi na ndugu wanazingua.Kaka kama binti anakuja getto we tia mimba halafu ALLAH atamalizana na hao wazazi na ndugu maana hapo wewe hautokuwa na kosa
 
Unahangaika sana wakati kumpa mimba ni Bure
Kumpa Mimba sio suluhisho, kuna makabila engine pamoja na kumpa Mimba binti yao....

Utamakilisha Mahari , pamoja na nyongeza sababu umempa mimba binti yao kabla ya ndoa.

Ukute ndio Dada zake hawajaolewa utawalipa wake Dada zake wakuruhusu mdogo mtu aolewe...

Kuna Mila Jamani.
 
wakizingua na mimi nadinda
 
 
Mbona kuna wale wa Ndoa za mkeka mkuu, njoo huku kwetu kwa Mtogole gharama yako ni hela ya udi tu [emoji23]
 
pole sana ila amna kitu mbaya kama kukopa mahali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…