Mtaani kwetu...

Hahahaa hii sasa sifa... Imenikumbusha kijiji fulani kuna RESTOREUNT kama hiyo hiyo imeandikwa "kama lupefu gele veve" kihehe (kama rahisi jaribu na wewe)
 
Hahahaa hii sasa sifa... Imenikumbusha kijiji fulani kuna RESTOREUNT kama hiyo hiyo imeandikwa "kama lupefu gele veve" kihehe (kama rahisi jaribu na wewe)

kiswahili chake ni Mgahawa, ingawa wengne huita Mkahawa
 
Inawezekana alichokiandika nyie ndio hamjakielewa ni kirugha gani.....labda kijerumani cha mkoloni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…