Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Broh we ni mashine amaaa???Duuh noma sana huko kitaani kwenu mkuu
Broh we ni mashine amaaa???Duuh noma sana huko kitaani kwenu mkuu
Hapana bro, Mimi ni binadamuBroh we ni mashine amaaa???
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji115]Mkuu nan kakutuma ulete picha ya mtaan kwetu JF ?
Yan umepotea Behaviourist[emoji53][emoji53][emoji53]
Risiti wanatoa? Ukilipa faini[emoji53][emoji53][emoji53]
kumbe mnakaa mtaa mmoja??Mkuu nan kakutuma ulete picha ya mtaan kwetu JF ?
Nipo best, hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu!Yan umepotea Behaviourist
Yan nipo mbali na dunia dearNipo best, hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu!
Sawa,basi wasalimie aliens wa huko![emoji53][emoji53][emoji53]Yan nipo mbali na dunia dear
Mkuu tunamiliki Phoenix tu huku ukiwa na buku teni we ni taita unaweza funga mtaa,maana pombe zetu tunapimiwa kwa lita TSHS 200Najiuliza hao wanaokunywa hawana magari