Kwa mahitaji ya ramani unaweza kuwasiliana na mimi kupitia 0752 615637, 0655615637.
Pia nimeshafanya ramani nyingi kama mtakazo ziona kwa picha kwenye attachment.
Kwa mahitaji ya ramani unaweza kuwasiliana na mimi kupitia 0752 615637, 0655615637.
Pia nimeshafanya ramani nyingi kama mtakazo ziona kwa picha kwenye attachment.
Huu ni ulimwengu wa "Competition"; kwa bei hiyo ya 500,000/= kwa residential house yenye ya 3-4 Bedrooms ni ghali sana! PUNGUZA BEI! Wapo Architects wazuri wenye makampuni Dar-es-Salaam ambao wanafanya chini ya hapo tena pamoja na ushauri!
Punguza bei, maisha yenyewe yamekuwa magumu.......