Mtaalamu wa ujenzi wa mashimo ya vyoo

Living kereth

Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
69
Reaction score
55
Kwa majina Naitwa PETER LIVING Mkaazi wa bagamoyo Mkoa wa pwani ni MTAALAMU wa UJENZI wa MASHIMO ya choo majumbani taasisi na kwenye makampuni ...pia ni MTAALAMU nzuri kwenye shimo linalojaa Mara kwa Mara yaani maji yanajaa kwa wiki au wiki mbili ..nipigie kwa ajili ya kutatua tatizo lako kwa gharama nafuu sana
 
Nimeshakutumia SMS kwenye hiyo namba yako inayoishia 74,
KESHO NJOO MAPEMA TUFANYE KAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…