kingjohn255 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 403 Reaction score 520 May 22, 2025 #1 Rejea mada tajwa hapo juu, anahitajika kijana mzoefu na mjuzi wa Graphic Desgner ambae ni mzoefu wa graphic na mtengeneza maudhui ya mitandaoni kama unahisi una uwezo na sifa basi tuma CV yako kupitia email joexgroup@yahoo.com Mwisho wa mombi ni May 31/2025 2359 NB: Kijana awe na makazi ya kudumu Dar Es Salaam au mkoa jirani na Dar
Rejea mada tajwa hapo juu, anahitajika kijana mzoefu na mjuzi wa Graphic Desgner ambae ni mzoefu wa graphic na mtengeneza maudhui ya mitandaoni kama unahisi una uwezo na sifa basi tuma CV yako kupitia email joexgroup@yahoo.com Mwisho wa mombi ni May 31/2025 2359 NB: Kijana awe na makazi ya kudumu Dar Es Salaam au mkoa jirani na Dar