Mtaalam wa Artwork.....

Kk Maneti

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
26
Reaction score
1
Habari gani wanajamii....mimi natafuta mtaalam wa kutengeneza artwork kwa ajili ya kudisign cover ya audio cd....yeyote mwenye utaaalam naomba anipe bei pamoja na mawasiliano yake.....
 
naweza kukufanyia hiyo kazi ila sijajua wewe unapatikana wapi na unataka kudesigniwa cover tu kwani hizo cd umeshadabbing? au bado nazo?
Habari gani wanajamii....mimi natafuta mtaalam wa kutengeneza artwork kwa ajili ya kudisign cover ya audio cd....yeyote mwenye utaaalam naomba anipe bei pamoja na mawasiliano yake.....
 
Ndio kazi zangu hizo 0713 603 699 karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…