mnatuharibia jamii na tamaa zenu za kutengeneza pesa kupitia wanafunzi.
mnaenda mnabuni vitu vinavyochukua mda wa wanafunzi wote kuwaondolea mda wa kufanya kazi zingine.
mtoto huyu amesoma darasa la saba bila kupumzika mmechukua mda wake wa likizo. amemaliza mtoto anatakiwa apumzike ajifunze maisha nje ya shule yanaendaje.
hakuna maandalizi yoyote mtoto anayeingia sekondari anahitaji labda watoto hawa wafundishwe vitu visivyofundishwa mashule ya sasa kama kujua kujichanganya na watu, kujua haki zao na kuzisimamia.