Africa tuna kazi sana haki inafanywa hisani maji safi na salama kuletwa ulipo ni huduma ya kimsingi kwa binadamu yoyote na ni jukumu la serikali..
Ninapokua ughaibuni huku na ninaona niliyoyaacha miaka 19 huko iliyopita huko nyimbani ni yale yale napata wasiwasi sana kusikia mtu anasema "mabeberu wanatuonea wivu "
Hivi inawezekanaje mtu ana umeme wa kutokana na nyuklia, upepo ,gesi nk na bado halali kuzidi kuongeza ziada yake ashindane na mtu ambaye baada ya miaka 60 anapata maji na kuona ni tukio la kustaajabisha na la kuhitaji sherehe kabisa?