M MASHOW Member Joined Jan 20, 2012 Posts 34 Reaction score 1 Feb 9, 2012 #1 Naomba kueleweshwa je kilichotakiwa kuchangiwa katika huu mswada ilikuwa ni ishu ya wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wanasiasa kuingia mana wachangiaji wote wameishia hapo.vip kuhusu malalamiko ya mamlaka ya rais katika katiba?
Naomba kueleweshwa je kilichotakiwa kuchangiwa katika huu mswada ilikuwa ni ishu ya wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wanasiasa kuingia mana wachangiaji wote wameishia hapo.vip kuhusu malalamiko ya mamlaka ya rais katika katiba?