Huu umbea tu wakawaida, wasutaji wajeeeeee!!! Si hasa!! Msuto uko real!! Hahahahaha
kama naona watu vichwa chinii
Huo msuto lazima uwe intaneshno, inatakiwa kujipanga, mie nikija nasuta wote siangalii wote ni wasaliti tena kama nyepesi anatakiwa kusutwa huku anapgwa mabomu ya machozi na maji ya kuwasha huku akipigwa na mayai viza asipewe nafasi ya kuwaona wasutaji vinginevyo hatabakia hata sisimizi kwenye nyumba zao
Ukiona hivo ujue aliisahau Password ya ID hii, akafungua nyingine, lakini ghafla akaikumbuka ndo mana karudi mpya.